Herbert Agar
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Herbert Sebastian Agar (29 Septemba 1897 – 24 Novemba 1980) alikuwa mwanahistoria na mwandishi wa habari kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1934, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Historia kwa kitabu chake The People's Choice.
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads