Hermann Emil Fischer

From Wikipedia, the free encyclopedia

Hermann Emil Fischer
Remove ads

Hermann Emil Fischer (9 Oktoba 1852 15 Julai 1919) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Baadhi ya utafiti mwingine aligundua usanisi wa glukosi (aina ya sukari). Mwaka wa 1902 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Thumb
Thumb
Hermann Emil Fischer

Viungo vya nje


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hermann Emil Fischer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads