Horikawa wa Japani

From Wikipedia, the free encyclopedia

Horikawa wa Japani
Remove ads

Horikawa (8 Agosti, 1079 9 Agosti, 1107) alikuwa mfalme mkuu wa 73 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Taruhito, na alikuwa mwana wa pili wa Tenno Shirakawa. Mwaka wa 1087 alimfuata babake, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake, Toba.

Thumb
Ishara za mapambo (kiri) za ukoo wa Hosokawa hupatikana huko Ryōan-ji. Horikawa ni miongoni mwa watawala wengine sita waliowekwa ndani karibu na ile iliyokuwa makazi ya Hosokawa Katsumoto kabla ya Vita vya Ōnin.
Remove ads

Angalia pia

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Horikawa wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads