Ian Whyte
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ian Whyte (amezaliwa tar. 17 Septemba 1971) ni mwigizaji wa filamu na mtu wa stanti kutoka nchi Welisi. Anafahamika zaidi kwa kucheza kama Predator (amempokea hayati Kevin Peter Hall) katika filamu zote mbili za Alien vs. Predator na Aliens vs. Predator: Requiem.
Anasimama katika urefu wa futi 7'1".
Remove ads
Filamu alizocheza
- Alien vs. Predator (2004): Scar
- Aliens vs. Predator: Requiem (2007): Wolf
- Disaster Movie (2008): Hellboy
- Solomon Kane (2008): The Reaper
Viungo vya nje
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ian Whyte kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads