If I Could Turn Back the Hands of Time
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
"If I Could Turn Back the Hands of Time" ni wimbo wa R. Kelly, ulitolewa ukiwa kama wimbo wa tano kutoka katika albamu yake ya mwaka wa 1998, R.. Wimbo una mandhari ya ballad la kimapenzi lenye kumuhusu mtu mmoja anayetamani aurejesha muda uliopita ili kukarabati uhusiano wake na mpenzi wake. Wimbo ulikuwa kibao kikali kwenye kumi bora za nchi kadhaa, wakati huko Marekani iliishia kwenye kumi bora tu, yaani, nafasi ya 12 na kisha baadaye kuondoka zake.
Remove ads
Remove ads
Chati
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu If I Could Turn Back the Hands of Time kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads