Igor Tamm

From Wikipedia, the free encyclopedia

Igor Tamm
Remove ads

Igor Yevgenyevich Tamm (8 Julai 189512 Aprili 1971) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Urusi. Hasa alichunguza uhusiano kati ya elektroni na nuru.

Thumb
Thumb
Igor Tamm (1958)

Mwaka wa 1958, pamoja na Pavel Cherenkov na Ilya Frank alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Igor Tamm kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads