Irwin Rose

From Wikipedia, the free encyclopedia

Irwin Rose
Remove ads

Irwin Rose (amezaliwa 16 Julai 1926) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza kuyeyusha kwa protini. Mwaka wa 2004, pamoja na Aaron Ciechanover na Avram Hershko alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Irwin Rose kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Thumb
Irwin Rose
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads