Isabel Hofmeyr
profesa wa fasihi From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Isabel Hofmeyr (amezaliwa 1953) ni mwandishi wa Afrika Kusini na profesa wa fasihi katika Chuo Kikuu cha Witwatersrand. Hasa aliandika insha za kiuhakiki. Mwaka wa 2004, alipata Tuzo ya Thomas Pringle kwa ajili ya insha zake za kifasihi.
Maandishi yake
- 'We spend our years as a tale that is told': Oral Historical Narrative in a South African Chiefdom (1994)
Angalia pia
Marejeo
- Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Isabel Hofmeyr kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads