Ishirini na tano

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Ishirini na tano ni namba inayoandikwa 25 kwa tarakimu za kawaida na XXV kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 24 na kutangulia 26.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 5 x 5.

Matumizi

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads