Isla Beata

From Wikipedia, the free encyclopedia

Isla Beata
Remove ads

Isla Beata ni kisiwa cha bahari ya Karibi karibu na Hispaniola. Ni sehemu ya Jamhuri ya Dominikana.

Thumb
Kisiwa cha Isla Beata

Kina eneo la kilometa mraba 27 ila hakina wakazi.

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads