Isla Saona
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Isla Saona ni kisiwa cha bahari ya Karibi karibu na Hispaniola. Ni sehemu ya Jamhuri ya Dominikana.

Kina eneo la kilometa mraba 110 na wakazi 500.
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads