Jack Nicholson
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Jack Nicholson (amezaliwa tar. 22 Aprili 1937 mjini Neptune City, New Jersey) ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani. Awali alianza kama mtunzi na mshiriki wa kujiegesha. Ameanza kuwa nyota mnamo 1969 pale alipotua na katika kijisehemu kidogo cha katika filamu ya Easy Rider.
Miongoni mwa filamu zake nyingine ni pamoja na Five Easy Pieces (1970), Carnal Knowledge (1971), Tommy (1975), One Flew Over the Cuckoo's Nest (1975), The Shining (1980), Batman (1989), Mars Attacks (1996), As Good as it Gets (1997), About Schmidt (2002), na Anger Management (2003).
Remove ads
Viungo vya Nje
![]() |
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jack Nicholson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads