The Jackson 5
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
The Jackson 5 lilikuwa kundi la muziki wa roki la nchini Marekani lililoundwa na wanamuziki watano; mmojawapo ni Michael Jackson. Nyimbo zilizoimbwa na kundi hili ni kama "The Love You Save", "I Will Be There", "Mamas Pearl" na "Never Can Say Goodbye".
Remove ads
Kundi
- Jackie Jackson
- Tito Jackson
- Jermaine Jackson
- Marlon Jackson
- Michael Jackson
Viungo vya nje
- (Kiingereza) Jackson Five documentary katika BBC Radio
- (Kiingereza) The Jackson 5 katika Rock and Roll Hall of Fame
- (Kiingereza) The Jackson Five katika Vocal Group Hall of Fame Ilihifadhiwa 15 Aprili 2012 kwenye Wayback Machine.
![]() |
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu The Jackson 5 kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads