Jacobus Henricus van 't Hoff

From Wikipedia, the free encyclopedia

Jacobus Henricus van 't Hoff
Remove ads

Jacobus Henricus van 't Hoff (30 Agosti 18521 Machi 1911) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uholanzi. Hasa alichunguza sifa za kifizikia ndani ya kemia na kuweka msingi wa taaluma ya kemia ya kifizikia. Mwaka wa 1901 alikuwa mshindi wa kwanza wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jacobus Henricus van 't Hoff kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Thumb
Jacobus Henricus van 't Hoff
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads