Hatijava

From Wikipedia, the free encyclopedia

Hatijava
Remove ads

HatiJava kwa kingereza JavaScript ni lugha ya programu. Iliundwa na Brendan Eich na ilianzishwa 4 Desemba 1995. Leo tunatumia Javascript kusudi kuzijenga tovuti. Ilivutwa na Python.

Ukweli wa haraka Shina la studio, Imeanzishwa ...
Remove ads

Historia

Ilianzishwa 4 Desemba 1995 katika Netscape. Kisha Ilitelekezwa katika Microsoft 1996.

Falsafa

Namna ya JavaScript ni namna nyingi.

Sintaksia

Sintaksia ya JavaScript ni rahisi sana.

Mifano ya JavaScript

Programu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu ! ».

consol.log("Jambo ulimwengu !");

Programu kwa kuhesabu factoria ya nambari moja.

function factorial(n) {
    if (n === 0)
        return 1; // 0! = 1

    return n * factorial(n - 1);
}

factorial(3); // returns 6

Marejeo

Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads