Jerome Allen

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Jerome Allen ni mmarekani mwenye taaluma ya kucheza mpira wa kikapu. amewahi kuwa kocha mkuu wa chuo cha Pennsylvania kwasasa ni kocha msaidizi huko Detroit PistonsNBA Amewahi kucheza michezo 41 kwa timu ya Timberwolves Mnamo mwaka 2009 alikuwa kocha msaidizi wa timu ya chuo cha Pennsylvania's men's basketball

    Remove ads
    Loading related searches...

    Wikiwand - on

    Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

    Remove ads