Jimbo Kuu la Dodoma

From Wikipedia, the free encyclopedia

Jimbo Kuu la Dodoma
Remove ads

Jimbo Kuu la Dodoma (kwa Kilatini Archidioecesis Dodomaensis) ni mojawapo kati ya majimbo 36 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.

Kikanisa lina majimbo ya Kondoa na Singida chini yake.

Askofu mkuu wake ni Beatus Kinyaiya, O.F.M.Cap.

Remove ads

Historia

Uongozi

  • Maaskofu wakuu wa Dodoma
    • Beatus Kinyaiya, O.F.M.Cap.
  • Maaskofu wa Dodoma
  • Vicar Apostolic wa Dodoma
    • Anthony Jeremiah Pesce CP (1951 – 1953)
  • Prefect Apostolic wa Dodoma
    • Padri Stanislao dell’Addolorata CP (1937 – 1941)

Takwimu

Eneo ni la kilometa mraba 41,311, ambapo kati ya wakazi 1,908,000 (2006) Wakatoliki ni 398,000 (20.9%).

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Kuu la Dodoma kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads