João Alves de Assis Silva
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
João Alves de Assis Silva (Jô, alizaliwa 20 Machi 1987) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Brazil. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Brazil.

Jô ameichezea timu ya taifa ya Brazil tangu mwaka wa 2007. Jô alicheza Brazil katika mechi 20, akifunga mabao 5.[1]
Takwimu
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads