John Enders
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
John Franklin Enders (10 Februari 1897 – 8 Septemba 1985) alikuwa daktari kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza virusi visababishavyo magonjwa mbalimbali. Mwaka wa 1954, pamoja na Frederick Robbins na Thomas Weller alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads