John Legend
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
John Rogers Stephens (anayejulikana kama John Legend) alizaliwa mnamo mwaka 1978) ni mwanamuziki wa nchini Marekani.
Mwanamuziki huyo alitoa wimbo wake wa kwanza mwaka 2004 kwa jina la Get Lifted na nyingine inayoitwa All of Me. Mwaka 2007 alipokea tuzo ya Hal David Starlight kutoka kwenye jumba maarufu la watunzi wa muziki, tuzo nyingine alishinda mwaka 2015 ambayo ilikuwa ya dhahabu, pia ameshinda tuzo kumi na moja za Grammy, aliendelea kupokea tuzo nyingine nyingi.
![]() |
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu John Legend kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads