John Travolta
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
John Joseph Travolta (amezaliwa tar. 18 Februari 1954) ni mwigizaji, dansa na mwimbaji kutoka nchini Marekani. Ameanza kujulikana kwa mara yake ya kwanza kunako miaka ya 1970, baada ya kuonekana katika mfululizo wa televisheni. Mfululizo huo ni Welcome Back, Kotter na nyota katika filamu zenye mafanikio makubwa kabisa ya Saturday Night Fever na Grease. Kazi za Travolta zilianza kuvuma tena kwenye miaka ya 1990, kupata kucheza katika filamu ya Pulp Fiction, na tangu hapo akawa anaendelea kuwa nyota wa filamu za Hollywood films, katika Face/Off, Ladder 49 na Wild Hogs.
Remove ads
Marejeo
Soma zaidi
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads