John Vane

From Wikipedia, the free encyclopedia

John Vane
Remove ads

John Robert Vane (29 Machi 192719 Novemba 2004) alikuwa mtaalamu wa madawa kutoka nchi ya Uingereza. Hasa anajulikana kwa kuchunguza athari za aspirini kwa tezi kibofu. Mwaka wa 1982, pamoja na Sune Bergström na Bengt Samuelsson alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Vane kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Thumb
John Vane
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads