John William Colenso
Askofu wa Uingereza na mwanahisabati (1814-1883) From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
John William Colenso (24 Januari 1814 - 20 Juni 1883) alikuwa askofu wa Kanisa Anglikana kutoka Uingereza aliyeishi na kufanya kazi nchini Afrika Kusini tangu 1853. Alichunguza na kuandika juu ya lugha ya Kizulu pamoja na maandiko ya kidini na vitabu vingi kuhusu maisha nchini Afrika Kusini.
Remove ads
Angalia pia
Marejeo
- Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu John William Colenso kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads
