Joseph Goldstein

From Wikipedia, the free encyclopedia

Joseph Goldstein
Remove ads

Joseph L. Goldstein (amezaliwa 18 Aprili 1940) ni mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza kolesteroli. Mwaka wa 1985, pamoja na Michael Brown alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joseph Goldstein kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Thumb
Joseph Goldstein
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads