Jubek (jimbo)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Jimbo la Jubek ni mojawapo kati ya majimbo 32 yanayounda Sudan Kusini.

Imegawanyika katika kaunti 14: Lodu County, Luri County, Mangala County, Gondokoro County, Rejaf County, Wonduruba County, Lobonok County, Bungu County, Ganji County (Ganzi County), Dollo County, Rokon County, Lyria County na Oponi County.
Remove ads
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads