Juliani Saba

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Juliani Saba (yaani Mzee; 300 hivi - 377) alikuwa mkaapweke wa Osroene (leo kati ya Siria na Uturuki), ambaye tunamfahamu kupitia maisha yake yaliyoandikwa na Theodoreto wa Kuro.

Alihamia mlima Sinai alipojenga basilika ila aliacha upweke kwa muda kwenda Antiokia kupinga Uario[1][2].

Wafuasi wake maarufu zaidi ni Akasi, Yakobo na Asteri[3].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Januari [4].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads