Julius Nyaisangah
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Julius Nyaisangah (alifahamika zaidi kwa jina fupi kama Anko J; 1 Januari 1960 - 20 Oktoba 2013) alikuwa mtangazaji maarufu wa redio na televisheni kutoka nchini Tanzania.
'
Awali alifanya kazi RTD, Radio One, na mwisho kabisa alikuwa mkurugenzi wa Abood Media Co. Limited. Nyaisangah alifariki dunia kwa tatizo la shinikizo la damu na kisukari mjini Morogoro, Tanzania. Ameacha mjane na watoto watatu.
Remove ads
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads