Justin Trudeau

Waziri Mkuu wa Kanada tangu 2015 From Wikipedia, the free encyclopedia

Justin Trudeau
Remove ads

Justin Pierre James Trudeau (amezaliwa 25 Desemba 1971) ni mwanasiasa wa Kanada ambaye alikuwa waziri mkuu wa 23 wa Kanada tangu mwaka 2015 hadi tarehe 9 Machi 2025 na kiongozi wa Chama cha Liberal tangu mwaka 2013.

Thumb
Trudeau (2019)

Trudeau alikuwa waziri mkuu kijana wa pili wa Canada baada ya Joe Clark; yeye pia ni wa kwanza kuhusiana na mmiliki wa zamani wa cheo hicho, kama mtoto wa kwanza wa Pierre Trudeau.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Justin Trudeau kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads