Kadirio
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kadirio (kutoka neno la Kiarabu "kadiri"; kwa Kiingereza: estimation) ni kipimo cha kitu kisicho cha hakika kabisa, ila kimekisiwa kwa kuzingatia mambo mbalimbali, kama vile sampuli[1]. Hivyo ni hesabu ambayo ni ya kweli kwa kiasi tofauti, kulingana na ubora wa taratibu zilizofuatwa[2].

Kwa sababu inatarajiwa kuwa na usahihi fulani, inatumika mara nyingi kwa mafanikio [3].
Remove ads
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads