Kanmu wa Japani

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kanmu wa Japani
Remove ads

Kanmu (737 5 Februari, 806) alikuwa mfalme mkuu wa 50 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Yamabe, na alikuwa mwana wa kwanza wa Tenno Konin. Mwaka wa 781 alimfuata babake, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake, Heizei.

Thumb
Mchoro wa Kanmu

Angalia pia

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kanmu wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads