Karl Adolph Gjellerup

From Wikipedia, the free encyclopedia

Karl Adolph Gjellerup
Remove ads

Karl Adolph Gjellerup (2 Juni 185711 Oktoba 1919) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Denmark. Aliandika hasa kuhusu mambo ya dini. Mwaka wa 1917, pamoja na Henrik Pontoppidan alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Karl Adolph Gjellerup kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Karl Adolph Gjellerup
Thumb
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads