Ketoni
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ketone ni kampaundi ogania yenye atomu ya kaboni iliyo na muungo maradufu na atomi ya oksijeni. Atomu hii ya kaboni lazima pia iwe na muungo mosi na atomi nyingine mbili za kaboni.

Ketone inaweza kuzalishwa kwa oksidishaji ya alkoholi upili.
Mfano wake ni asetoni ambayo pia huitwa ketoni dimetili, (CH3CO.CH3)
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads