Khartoum (jimbo)

From Wikipedia, the free encyclopedia

Khartoum (jimbo)map
Remove ads

15°47′N 32°43′E

Thumb
Khartoum katika Sudan

Khartoum (pia Al Khartum) (Kar. الخرطوم ) ni moja ya majimbo (wilayat) 25 ya Sudan. Lina ukubwa wa eneo la 22,122 km 2 na wakazi wanaokadiriwa kuwa 4,700,000 (2000). Mji mkuu wa jimbo ni mji mkuu wa kitaifa.

Remove ads

Angalia Pia

  • Mafuriko ya Sudan ya 2007
Makala hii kuhusu maeneo ya Sudan bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Khartoum (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads