Kian Egan

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kian Egan
Remove ads

Kian John Francis Egan (alizaliwa tarehe 29 Aprili 1980, Sligo, nchini Ireland) ni mwimbaji katika kundi la Westlife.

Ukweli wa haraka Maelezo ya awali, Aina ya muziki ...

Maisha binafsi

Egan alizaliwa na Patricia pampja na.Ana kaka zake watatu ambao ni Tom, Gavin na Colm, na kaka zake watatu; Marielle, Vivienne na Fenella. Amesoma katika chuo cha Summerhill iliyopo katika eneo la Sligo, ambapo hapo alikutana na wenzake Mark Feehily and Shane Filan.

Egan alimuoa mwigizaji na mwimbaji Jodi Albert, tarehe 8 Mai 2009 huko Barbados.

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads