Kichonyi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kichonyi (pamoja na Kidzihana na Kikauma) ni lugha ya Kibantu nchini Kenya inayozungumzwa na makabila matatu, yaani Wachonyi, Wajibana na Wakauma. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kichonyi imehesabiwa kuwa watu 184,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kichonyi iko katika kundi la E70.
Viungo vya nje
- lugha ya Kichonyi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kichonyi Ilihifadhiwa 30 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kichonyi katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/coh
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kichonyi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads