Kidawida

lugha ya kabila ya Wataita From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Kidawida (au Kidaw'ida) ni lugha ya Kibantu nchini Kenya inayozungumzwa na Wadawida (au Wadaw'ida). Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kidawida imehesabiwa kuwa watu 254,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kidawida iko katika kundi la E70.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidawida kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads