Kidhivehi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Kidhivehi (au Kimaldivi) ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Maldivi na Uhindi inayozungumzwa na Wamaldivi. Mwaka wa 2012 idadi ya wasemaji wa Kidhivehi imehesabiwa kuwa watu 331,000 nchini Maldivi na 9,500 nchini Uhindi. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidhivehi iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidhivehi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads