Kidzao-Min

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Kidzao-Min ni lugha ya Kihmong-Mien nchini Uchina inayozungumzwa na Wayao. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kidzao-Min imehesabiwa kuwa watu 60,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidzao-Min iko katika kundi la Kimieniki.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidzao-Min kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads