Kigbe-Waci

Lugha ya Niger-Kongo inayozungumzwa nchini Togo na Benin From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Kigbe-Waci ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Togo na Benin inayozungumzwa na Wagbe. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kigbe-Waci nchini Togo imehesabiwa kuwa watu 366,000. Pia kuna wasemaji 110,000 nchini Benin. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigbe-Waci iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigbe-Waci kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads