Kigiryama

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Kigiryama ni lugha ya Kibantu nchini Kenya inayozungumzwa na Wagiryama. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kigiryama imehesabiwa kuwa watu 944,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kigiryama iko katika kundi la E70.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigiryama kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads