Kigun
lugha inayozungumzwa Nigeria na Benin From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kigun ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Benin na Nigeria inayozungumzwa na Wagun. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kigun nchini Benin imehesabiwa kuwa watu 320,000. Pia kuna wasemaji 259,000 nchini Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigun iko katika kundi la Kikwa.
Remove ads
Viungo vya nje
- lugha ya Kigun kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kigun Ilihifadhiwa 16 Februari 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kigun katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/guw
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigun kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads