Kihanga (lugha)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kihanga ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wahanga. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kihanga imehesabiwa kuwa watu 6800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihanga iko katika kundi la Kigur.
Viungo vya nje
- lugha ya Kihanga kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kihanga Ilihifadhiwa 5 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kihanga katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/hag
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kihanga (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads