Kikonso

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Kikonso ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wakonso. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kikonso imehesabiwa kuwa watu 242,000. Pia kuna wasemaji wachache nchini Kenya. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikonso iko katika kundi la Kikushi.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikonso kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads