Kikusunda

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kikusunda
Remove ads

Kikusunda ni lugha nchini Nepal iliyokuwa inazungumzwa na Wakusunda. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikusunda hakihusiani na lugha nyingine yoyote bila shaka.

Gyani Maiya Sen-Kusunda anaonyesha viungo vya mwili na kutamka majina yao kwa Kikusunda.

Mwaka 2023 alikuwa amebaki msemaji mmoja tu wa Kikusunda, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikusunda kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads