Kimarkweeta

lugha ya kalenjin inayoongelewa Kenya From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Kimarkweeta (pia Kiendo au Kimarakwet) ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Kenya inayozungumzwa na Wamarkweeta, kabila moja la Wakalenjin. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kimarkweeta imehesabiwa kuwa watu 180,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimarkweeta iko katika kundi la Kinilotiki.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimarkweeta kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads