Kimoore
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kimoore (pia Kimossi) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso inayozungumzwa hasa na Wamoore. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimoore iko katika kundi la Kigur.
Idadi ya wasemaji wa Kimoore nchini imehesabiwa kuwa watu milioni 12, hasa Burkina Faso Pia kuna wasemaji nchini Togo, Mali, Niger, Ghana, Benin, Cote d'Ivoire na Senegal.
Viungo vya nje
- lugha ya Kimoore kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimoore Ilihifadhiwa 24 Machi 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimoore katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mos
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimoore kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads