Kimulao
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kimulao ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina inayozungumzwa na Wagelao. Idadi ya wasemaji wa Kimulao imehesabiwa kuwa wazee wachache tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimulao iko katika kundi la Kikra.
Viungo vya nje
- lugha ya Kimulao kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimulao Ilihifadhiwa 8 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimulao katika Glottolog
- lugha ya Kimulao kwenye Ethnologue
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimulao kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads