Kindamba
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kindamba ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wandamba. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kindamba imehesabiwa kuwa watu 55,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kindamba iko katika kundi la G50.
Viungo vya nje
- lugha ya Kindamba kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kindamba Ilihifadhiwa 23 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kindamba katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/ndj
- http://www.african.gu.se/tanzania/weblinks.html Ilihifadhiwa 4 Oktoba 2006 kwenye Wayback Machine.
- http://www.linguistics.berkeley.edu/CBOLD/Docs/TLS.html (tovuti hiyo ina msamiati wa Kindamba)
Marejeo
- Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kindamba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads