Kinyunga (Australia)
lugha ya asili ya Australia From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kinyunga (au Kinoongar) ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wanyunga katika jimbo la Australia Magharibi. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kinyunga 240. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinyunga kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi. Wengine huangalia lugha zifuatazo kama lahaja za Kinyunga: Kibibbulman, Kigoreng, Kipinjarup, Kiwajuk na Kiwardandi.
Remove ads
Viungo vya nje
- lugha ya Kinyunga kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinyunga
- lugha ya Kinyunga katika Glottolog
- lugha ya Kinyunga katika Ethnologue
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinyunga (Australia) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads