Kiraute
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kiraute ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Waraute. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kiraute imehesabiwa kuwa watu 460. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiraute iko katika kundi la Kihimalaya.
Viungo vya nje
- lugha ya Kiraute kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiraute
- lugha ya Kiraute katika Glottolog
- lugha ya Kiraute kwenye Ethnologue
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiraute kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads